Yanga dah! yapigwa bao jioni sasa yageukia nje... MABOSI wa Yanga walikuwa ameanza kupumua baada ya dili lao la kumnyakua kipa chipukizi mwenye kipaji kikubwa, Abdultwalib Mshery kutoka Mtibwa Sugar, likionekana kutiki, lakini ghafla mambo...
Kibu atawafunga sana MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji wapya ambao juzi kwenye Simba Day walikiwasha kinoma na kuwafanya mashabiki wa timu hiyo kumtabiria makubwa huku mwenyewe akisema...
Mkurugenzi Arsenal aibuka mazoezini kufuatilia mwenendo wa timu KATIKA hali ya kushangaza Mkurugenzi wa ufundi Arsenal anayefahamika kwa jina la Eduardo Daud Gaspar, ameonekana viwanja vya London Colney unaotumika kwa mazoezi ya timu hiyo.
Guardiola achukizwa na mashabiki City Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amekuwa mbogo akiwaomba mashabiki kuacha uvivu wa kutokwenda uwanjani kuangalia mechi za timu yao.